Search
Now showing items 1-2 of 2
Uchanganuzi wa jinsi ngano Zinavyopitisha elimu ya kazi kwa vijana; mfano wa jamii ya Wanyankole nchini Uganda.
(2015)
IKISIRI
Utafiti huu unahusu ngano za Wanyankole wanaoishi magharibi mwa Uganda. Ngano za Wanyankole zina kazi mhimu sana kwa vile hufunza vijana kuhusu kazi. Kazi hizo hupitishwa kwa vijana wa Kinyankole kupitia ngano. ...
Uchanganuzi wa mikakati wanayoitumia mapapasi katika kujifunza lugha ya pili mji mkongwe Zanzibar
(2015)
Mapapasi ni watu wenyekumudu kuzungumza lugha mbalimbali za kigeni na kuweza kuzitumia kuwaongoza wageni, hata hivyo mikakati wanayoitumia katika kujifunza lugha hizo bado hazijatambulikana hivyo utafiti huu ulikuwa na ...